Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

agb99

Hacking forum

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

kingroyal

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

superbetin

cratosroyalbet

grandpashabet

radissonbet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

bettilt

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

casibom

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

pokerklas

pokerklas

gamdom giriş

gamdom

meritbet

meritbet giriş

meritbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

jojobet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

ligobet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet güncel giriş

kingroyal

jojobet

bahiscom

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

artemisbet

artemisbet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

Featured Michezo

CDF JENERALI MABEYO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA UWANJA WA GOFU,HOTELI YA NYOTA TANO NA KITUO CHA MICHEZO IHUMWA DODOMA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo,akipata maelezo mradi wa ujenzi kutoka kwa Msimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hotel ya nyota tano na kituo cha michezo Meja Amanzi Mandengula wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo,akikata utepe kuashiria  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi katika ujenzi huo eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo,akiweka jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo,akiendelea kukagua mradi wa  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo,akicheza mchezo wa Gofu kuashiria uzinduzi wa Mradi wa  wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo,akizungumza wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi huo ambaye pia ni Mkuu wa Tawi la Utawala Jeshi la kujenga taifa JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akitoa taarifa ya mradi wa Ujenzi wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara,akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Gofu Club ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo,akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Tanzania  Gofu Union  (TGU) Chris Martin ,akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

SEHEMU ya Makamanda wa Jeshi la Wananchi wakifatilia hotuba ya Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo (hayupo pichani),akizungumza wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuweka  jiwe la Msingi  ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hoteli ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa katika eneo la Jeshi Ihumwa leo Juni 28,2022 Jijini Dodoma.

……………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

Mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo ameweka jiwe la Msingi katika ujenzi wa Uwanja wa Gofu, Hotel ya nyota tano na kituo cha michezo vinavyojengwa  katika eneo la Jeshi Ihumwa Jijini Dodoma.

Akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la msingi Jenerali Mabeyo,amesema kuanza kwa ujenzi katika eneo hilo ni hatua nzuri katika kuimarisha mchezo wa Gofu  nchini na kufungua fursa nyingi za kimichezo.

Jenerali Mabeyo amesema kuwa uwanja huo ni wa kwanza kujenga jijini Dodoma lakini ni wa  pili wa mchezo wa Gofu kujengwa na Jeshi hilo hapa nchini,ambapo wa kwanza ni ule wa Gofu uliopo Lugalo mkoani Dar es Salaam.

“Huu ni mwanzo mzuri katika kuimarisha mchezo huo hapa nchini ambapo mchezo huo umeanza kuwa maarufu sana na tumeanza na uwanja huu lakini lengo letu ni kujenga viwanja kama hivi nchini nzima ili kusisimua hamasa ya mchezo huo” Amesema Jenerali Mabeyo.

Amesema kuwa  lengo la kujenga viwanja vya michezo ni pamoja na kuisapoti serikali katika kuendeleza michezo hapa nchini,ili watanzania wazidi kuipenda michezo pamoja na kupanua wigo wa kushiriki mashindano ya kimataifa.

“Naomba niipongeze kamati ya Ujenzi wa uwanja huu iliochini ya Mwenyekiti Brigedia Hassan Mabena imefanya kazi nzuri ya ubunifu wa uwanja huo,”amesema Jeerali Mabeyo.

Amesema michezo ina umuhimu mkubwa kwa rika zote kiafya hivyo kukamilika kwa uwanja huo utasaidia watu kukusanyika katika eneo hilo na kupata burudani huku jeshi likiingiza kipato na kusaidia kuinua uchumi wa jeshi.

Hata hivyo amewatakaMajenerali na Maofisa wa Jeshi hilo kujifunza kucheza mchezo wa Gofu na michezo mingine ili wapatapo muda wa kushiriki mashindano ya nje wajitokeze kwa wingi kama wanavyofanya wanamichezo wengine.

“Kuna mashindano ya ngazi mbalimbali Jeshini,hivyo wakijifunza michezo itasaidia kutoa ushindano pindi mashindano yanapotokea,”almesema Jenerali Mabeyo.

“Nimefurahishwa na  kituo hiki kitakuwa pia na academy kwa mchezo wa Gofu hii naimani itasaidia sana kukuza mchezo huo hapa nchini na itakuwa nchi ya tatu kwa kuwa na academy” Amesema.

Akizungumzia ujenzi wa kituo cha michezo mingine katika eneo hilo ambalo litakuwa na viwanja vya michezo  mbalimbali pamoja na ujenzi wa hoteli kubwa yenye hadhi ya nyota tano.

Jenerali Mabeyo amesema  kuwa ujenzi wa miundombinu hiyo utasaidia kuongeza uchumi katika jiji la Dodoma kwani itatoa ajira za moja kwa moja na za muda.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi huo ambaye pia ni Mkuu wa Tawi la Utawala Jeshi la kujenga taifa JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema eneo hilo lina ukubwa wa ekari 523 ambapo maandalizi yameanza ambapo mbali na ujenzi wa uwanja wa Gofu vitajengwa viwanja vya vingine mbalimbali ikiwamo Hoteli kubwa yenye hadhi ya nyota tano.

Brigedia Jenerali Mabena,amesema kuwa ujenzi wa kituo hicho cha michezo utagharimu zaidi ya bilioni 59 na kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho  utainua hadhi ya makao makuu ya nchini na kupitia kituo hicho kitawaongezea mapato kupitia fedha za viingilio na ada.

Aidha ametaja baadhi ya viwanja vitakavyojengwa katika kituo hicho ni Uwanja mkubwa wa Gofu, uwanja wa mpira wa Miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji elfu kumi(10,000), uwanja wa Tenis, Mpira wa Kikapu, Bwawa kubwa la kuogelea lenye hadhi ya Olimpiki na kituo cha michezo ya watoto.

Nae Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara,amesema kuwa yalikuwa ni matamanio yake ya muda mrefu ya kuwa na uwanja mkubwa wa gofu Dodoma na kila kanda ili kuinua ari ya mchezo huo nchini.

“Namshukuru Jenerali Venance Mabeyo alituahidi kuwa lazima ataanza uwanja wa Gofu na ametimiza ahadi yake na sasa uwanja huo unaanza kujengwa ambao utakuwa ni hazina kubwa katika kukuza mchezo huo h nchini” Amesema Jenerali Waitara.

Aidha amewaasa watanzania kutoogopa mchezo huo kwani hauna gharama kubwa kama watu wanavyoongea na kubainisha kuwa katika kituo hicho cha michezo itakuwa kama chuo cha mchezo wa Gofu nchini.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Tanzania  Gofu Union  (TGU) Chris Martin ,amelishukuru Jeshi hilo kwa kusapoti michezo hapa nchini,hususani mchezo wa Gofu kwa kuendelea kujenga viwanja vya mchezo huo na michezo migine.

About the author

Alex Sonna