
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD FDD Ndugu Reverien Ndikuriyo wakati wa kufungaΒ Β mafunzo maalum ya Uzalendo kwa Vijana Zaidi ya 500 vyalioandaliwa na Chama cha CNDD-FDD katika mkoa wa Makamba, Burundi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Vijana wakati wa kufunga mafunzo maalum ya Uzalendo yalioandaliwa na Chama cha CNDD-FDD katika mkoa wa Makamba, Burundi.
