Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA BUNGE

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge kutoka kikombo Jijini Dodoma nje ya Ukumbi wa Bunge.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge kutoka kikombo Jijini Dodoma nje ya Ukumbi wa Bunge 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiagana na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge kutoka kikombo Jijini Dodoma nje ya Ukumbi wa Bunge leo Juni 24, 2022. Baada ya kupiga nao picha ya pamoja

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor