Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:MUONEKANO WA BAADHI YA NYUMBA KATIKA KIJIJI CHA MSOMERA

Written by mzalendoeditor

Muonekano wa baadhi ya nyumba zilizojengwa na Serikali katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga kwa ajili ya makazi ya wananchi wanaohamia katika kijiji hicho kutoka Ngorongoro.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wa huduma mbalimbali za jamii katika eneo hilo, Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor