Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, bungeni jijini Dodoma, Mei 24, 2022. Kutoka kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Najma Giga na Mbunge wa Viti Maalum Mjini Magharibi Khadija Aboud. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini dodoma, Mei 24, 2022. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Asha Abdallah Juma. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata, kwenye viwanja vya Bunge jijini dodoma, Mei 24, 2022. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor