Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

ramadabet

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

DKT MWIGULU AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA BENKI KUU ZA NCHI ZA AFRIKA, ASEMA MIFUMO JUMUISHI YA KIFEDHA ITASAIDIA KUKUZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA.

Written by Alex Sonna

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akifungua Mkutano wa kumi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Huduma Jumuishi za Fedha Kanda ya Afrika kwa njia ya Mtandao unaofanyika jijini Arusha.

Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Profesa Florence Luoga akiongea na waandishi wa habari katika mkutano wa viongozi wa Benki kuu za nchi za Afrika uliofanyika mkoani Arusha.
Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Taifa ya Huduma Jumuishi za Kifedha  Nangi Moses Massawe akiongea na waandishi wa habari katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa kamati ya wanawake ya Huduma Jumuishi za kifedha Tanzania Beng’i  Issa  akiongea na waandishi wa habari katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka katika nchi mbalimbali za Afrika wakiwa katika mkutano huo
……………………………………..
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amesema mifumo jumuishi ya kifedha ya kitaifa na mpango mkuu wa maendeleo utasaidia katika kukuza matumizi ya teknolojia na ulinzi kwa watumiaji ikiwa ni pamoja  kuongeza matumizi ya upatikanaji wa huduma rasmi za kifedha nchini.

Dkt Mwigulu aliyasema hayo wakati Leo June 23 wakati akifungua kwa njia ya mtandao mkutano wa 10 wa mipango ya sera jumuishi ya fedha Barani Afrika uliofanyika jijini Arusha ambapo alisema kuwa sekta ya fedha ina mchango mkubwa katika ukuaji wa maendeleo ya uchumi nchini.
 “Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukuwa hatua za kisera katika ukuzaji wa kifedha ambapo takwimu za mwaka 2006 zimeonyesha kuwa asilimia 46 ya watu wazima waliounganishwa na huduma za kifedha ni asilimia 11 tu ya watu hao ndiyo wanaotumia huduma rasmi,” Alisema
Kwa upande wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Florence Luoga alisema kuwa moja ya malengo ya kuanzisha huduma jumuishi za kifedha ni kuhakikisha wanawafikia wananchi popote walipo ambapo kwa Tanzania wanahakikisha kuwa mwananchi hatembei zaidi ya kilomita 15  bila kukuta huduma za kifedha ndio maana taasisi za fedha zilizopo hapa nchini zinapeleka huduma kupitia mawakala.
Profesa Luoga alisema sambamba na tasisi za kifedha pia wamehakikisha makampuni ya simu yanatoa huduma za kifedha lakini huduma hizo zitolewe kwa gharama ambayo wananchi wanaweza kumudu Ili huduma hiyo iweze kuwafikia walengwa ambao ni wale ambao walikuwa hawapati huduma za kibenki.
“katika nchi za Afrika tunaona haya yamefanyika lakini zipo changamoto ambazo sasa sisi kama viongozi tunakaa na kubadilishana mawazo kuona changamoto hizi tunazifukaje ambazo ni pamoja na athari zinazoweza kutokea katika utoaji wa huduma mtandaoni ikiwemo wizi wa utambulisho kwahiyo tumekutana kujua tutatoka na ufumbuzi gani,” Alisema Profesa Luoga.
Aidha alisema kuwa kutokana na utakatishaji wa fedha nchi za Afrika zimekuwa zikipoteza kila mwaka Dola milioni 350 ambapo kama wangechua hatua thabiti ya kuweza kuzuia ingeshuka  hadi Dola milioni 10 ambapo suala hili limechukuliwa na uongozi wa ummoja wa Afrika kuangalia ni kwanamna gani kila nchi wataweza kudhibiti.
Naye Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Taifa ya Huduma Jumuishi za Kifedha  Nangi Moses Massawe amesema katika nchi nyingi wanawake ndiyo wameonekata kuachwa nyuma katika huduma za kifedha ambapo asilimia 60 tu ya wanawake ndio wanaofikiwa na huduma za kifedha huku wanaume wakiwa ni zaidi ya asilimia 80.
Mwenyekiti wa kamati ya wanawake ya Huduma Jumuishi za kifedha Tanzania Beng’i  Issa amesema kuwa karibu asilimia 10 ya wanawake wapo nyuma katika huduma jimuishi za kifedha ambapo kama kamati wamejitengenezea malengo  ya kuhakikisha wanawake wanaoingia kwenye huduma jumuishi za kifedha katika nyanja zote kwanzia huduma za benki, bima na katika masoko ya hisa.
“Kwanza tutaona elimu ya fedha kwa wanawake, kuweka fedha zao kwa kutumia mifumo rasmi pamoja na mabenki kuwa na bidhaa rafiki kwao ambazo watazipenda na kuzitumia zaidi ikiwemo kupata taarifa kutoka taasisi zote za fedha zinazoenda benki kuu kujua ni wanawake wangapi wameweza kutumia bidhaa ambazo zimeanzishwa,” Alisema.

About the author

Alex Sonna