Featured Kitaifa

BUNGE LAPITISHA BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/2023

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akijibu hoja za wabunge kabla ya kupitishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande, akijibu hoja za wabunge kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba(Mb) baada ya kuhitimisha kujibu hoja za wabunge kabla ya kupitishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akimpongeza Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) baada ya kuhitimisha kujibu hoja za wabunge kabla ya kupitishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba(Mb) akitoka Bungeni baada ya kuhitimisha kujibu hoja za wabunge kabla ya kupitishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akipeana mkono na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, baada ya Bunge kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Lawrance Mafuru, baada ya Bunge kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Manaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo na Bw. Lawrance Mafuru, wakiondoka maeneo ya Bunge baada ya kuhitimishwa kujibu hoja za wabunge kuhusu  Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

Waziri wa  Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (wa tatu kulia) Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) wa pili kulia na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Emmanuel Tutuba, (wa tatu kushoto) na viongozi wengine wa Wizara hiyo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Bunge kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)

About the author

mzalendoeditor