Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA NA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA MVUMI BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Mvumi   wilayani Chamwino, Dodoma, kwenye  viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2022. Wanafunzi hao walikwenda Bungeni kwa ziara ya mafunzo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Mvumi,  wilayani Chamwino, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2022. Wanafunzi hao walikwenda Bungeni kwa ziara ya mafunzo.

About the author

mzalendoeditor