Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Uncategorized

TANZANIA KUWA KITOVU CHA SEKTA YA POSTA BARANI AFRIKA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Posta wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bi Caroline Kanuti (mwenye miwani) akizungumza kuhusu ujenzi wa Makao Makuu ya PAPU jijini Arusha na manufaa yake kwa sekta ya posta nchini kwa baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo wakati walipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo, Juni 8 jijini Arusha.

Msimamizi wa ujenzi wa jengo la ofisi za PAPU, Arusha, Mhandisi Hanington akizungumza na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakati walipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya PAPU, Juni 8 jijini Arusha

Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Bwana Sifundo Chief Moyo akizungumza na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakati walipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya PAPU, Juni 8 jijini Arusha.

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakimsikiliza Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Bwana Sifundo Chief Moyo walipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya PAPU, Juni 8 jijini Arusha.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Rodney Thadeus akizungumza wakati watumishi wa Wizara hiyo ilipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo, Juni 8 jijini Arusha.

Matukio mbalimbali katika picha wakati watumishi wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari walipotembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika unaofanyika jijini Arusha.

…………………………………………….

Na Mwandishi Wetu, ARUSHA

Ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU) lenye ghorofa 18 kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 39, jijini Arusha inadhihirisha kuwa Tanzania inastahili kuwa makao makuu ya umoja huo na kuwa kitovu cha Sekta ya Posta kwa Bara la Afrika

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Posta wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bi Caroline Kanuti alipozungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara hiyo waliofika kuona maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo siku ya jumatano ya Juni 8, 2022, jijini Arusha

Bi. Kanuti amesema kuwa kufanikisha ujenzi wa Makao Makuu ya PAPU jijini Arusha ni fahari kwa nchi ya Tanzania kwa kuwa imedhihirisha inastahili na ina sifa ya kuwa mwenyeji wa makao makuu ya umoja huo lakini pia itaifanya nchi ya Tanzania kuwa kitovu cha shughuli zote za Sekta ya Posta Barani Afrika

Ameongeza kuwa asilimia 60 ya gharama za ujenzi wa jengo hilo zinatoka kwa nchi 45 wanachama wa PAPU na Tanzania ikiwemo, na asilimia 40 ya gharama za ujenzi huo zinatoka Serikalini kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambayo ndio msimamizi wa Sekta ya Posta nchini

“Jengo hili ni ofisi lakini pia ni kitega uchumi cha nchi wanachama wa PAPU, na faida itakayopatikana itagawanywa kulingana na makubaliano yaliyoingiwa na umoja huo ambapo asilimia 60 itaenda kwa PAPU na asilimia 40 kwa Serikali ya Tanzania”, amezungumza Kanuti

Msimamizi wa ujenzi wa jengo la ofisi za PAPU, Arusha, Mhandisi Hanington Kagiraki amesema jengo hilo linajengwa kisasa na kwa ubora wa hali ya juu ambapo mpaka sasa ujenzi umefikia asilimia 70 na matumizi ya rasilimali fedha ni asilimia 51

Ameongeza kuwa, matumizi ya jengo hilo mbali na ofisi za PAPU, kutakuwa na ofisi ya TCRA Kanda ya Kaskazini, ofisi ya Shirika la Posta Tanzania, kumbi za mikutano, ofisi za kukodisha, sehemu ya kulia chakula (restaurants), sehemu maalumu kwa ajili ya chakula cha Kiswahili na juu kabisa ghorofa ya 18 litakuwa ni eneo la watalii kutazama vivutio vya jiji la Arusha

Naye Katibu Mkuu Mtendaji wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Bwana Sifundo Chief Moyo amesema kuwa nchi ya Tanzania inatakiwa kuona fahari kuwa mwenyeji na mwanachama wa umoja huo na yeye binafsi anafurahia uwepo wa Makao Makuu ya Umoja huo nchini kwa kuwa nchi ya Tanzania imedhihirisha kuwa kituo cha Jumuiya nyingi za kiafrika

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO wa Wizara hiyo, Rodney Thadeus, amesema kuwa kuna faida nyingi zitapatikana kwa nchi ya Tanzania kuwa mwenyeji wa taasisi kubwa barani Afrika kwa kufungua fursa za ajira na kukuza uchumi wa jiji la Arusha na nchi kwa ujumla kupitia mikutano ya kimataifa na shughuli nyingine za kiuchumi zitakazofanyika katika jengo hilo

About the author

Alex Sonna