Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

cratosroyalbet

mavibet

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis giriş

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

betsat

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

casibom güncel giriş

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

jojobet giris

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

WATHIBITI UBORA NI MOYO WA ELIMU NCHINI-WAZIRI MKENDA

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya kilichofanyika leo Juni 8,2022  Jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,wakati akifungua kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya kilichofanyika leo Juni 8,2022  Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoloji Prof James Mdoe ,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya kilichofanyika leo Juni 8,2022  Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Uthibiti ubora wa Shule kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bibi Euphrasia Buchumu ,akielezea mafaniko waliyoyapata wakati wa kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya kilichofanyika leo Juni 8,2022  Jijini Dodoma.

KAMISHNA  wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya kilichofanyika leo Juni 8,2022  Jijini Dodoma.

Mthibiti Mkuu Ubora wa Shule Kanda ya Magharibi Bi.Edith Mwijage,akitoa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki mara baada ya Waziri  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (hayupo pichani) kufungua  kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya kilichofanyika leo Juni 8,2022  Jijini Dodoma.

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya kilichofanyika leo Juni 8,2022  Jijini Dodoma.

……………………………………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda ,amesema elimu bora itapatikana na kuhakisi mahitaji ya nchi endapo kama Maafisa Uthibiti Ubora watakuwa wanaharakati wa mabadiliko katika maeneo yao ya kazi.

Pia amewataka kuhakikisha malezi ya wanafunzi yanapewa kipaumbele ili kutengeneza kizazi bora kwa sasa na baadaye.

Waziri Mkenda amesema hayo leo Juni 8,2022 jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha Tathmini ya utendaji kazi idara ya uthibiti ubora wa shule kati ya viongozi, uthibiti ubora wa shule na Makao Makuu, ithibati ya shule na wathibiti ubora wa shule wakuu kanda na wilaya.

Amesema Wathibiti ubora wana nafasi kubwa katika kusimamia ubora wa elimu inayotolewa na kuwataka kuendelea kujiongeza katika utendaji kwani wao ndio mboni ya jicho la elimu nchini.

Amewataka wathibiti ubora kote nchini kusimamia kwa weledi zaidi ubora wa elimu kwani wao ni moyo na injini ya elimu.

“Ninyi ni mboni wa elimu hapa nchini, manatakiwa kupambana mambo yakiwa hayaendi vizuri, tizameni kinachoendelea huko katka maeneo yenu ya kazi Serikali imeboresha mazingira ya utendaji wenu jitoeni tuendelee kujituma,”amesema Prof. Mkenda

Aidha amesema kuwa kutokana na Utandawazi na kasi ya mabadiliko ya teknolojia ni vizuri kujua namna ya kuendana nayo ili watoto wawe na malezi mazuri.

“Malezi ni pamoja na kujali afya za watoto, tushiriki kuhakikisha tunasimamia ujenzi wa vyoo katika maeneo yetu, halmashauri zitenge fedha kujenga vyoo ili changamoto hiyo iweze kuisha”, ameongeza Prof. Mkenda

“Nimeongea na Waziri mwenzangu Mhe. Dorothy Gwajima tupitie miongozo yote watoto wanaaza shule wakiwa wadogo hapa suala la malezi ya mtoto katika maadili ni muhimu,” ameeleza Prof. Mkenda

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoloji Prof James Mdoe,amesema kuwa Wizara ya Elimu kwa sasa inaendelea na mapitio yaSera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 hivyo amesema wathibiti ubora ni wadau muhimu katika hilo hivyo ni muhimu wakashiriki katika kutoa maoni ya kuboresha sera kwa kuwa wanathibiti ubora wa elimu nchini.

“Kuna zoezi muhimu sana linaendelea la kupitia mitaala na sera ya elimu na mafunzo hivyo wathibiti ubora wanapaswa kushiriki kwa kina katika zoezi hilo kw kiwango kikubwa kwani haitakuwa na maana kama msiposhiriki” amesema Prof.Mdoe

Awali Mkurugenzi wa Idara ya Uthibiti ubora wa Shule kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Bi.Euphrasia Buchumu amesema idara hiyo ina jukumu kubwa ambalo kuangalia viwango vya utoaji elimu nchini.

Ametaja baadhi ya mafanikio ya idara hiyo kuwa ni kubadili mfumo wa uthibiti ubora kutoka kuwa ukaguzi kuwa uthibiti, ujenzi wa Ofisi 55 zimejengwa ambazo zimeongeza ari ya utendaji kazi.

Hata hivyo Buchuma,ameeleza kuwa  katika mwaka wa fedha 2022/23 idara pamoja na mambo mengine inatarajia kuweka Mfumo wa kielektoniki ili kutoa taarifa vizuri, Kuimarisha ikama na Kujengea uwezo wathibiti ubora wa shule.

Akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Wathibiti Ubora wa Shule,Mthibiti Mkuu Ubora wa Shule Kanda ya Magharibi Bi. Edith Mwijage ,amemuhakikishia Waziri Mkenda kuwa watahakikisha wanatekeleza yale yote aliyowaambia ili elimu iendelee kuwa bora

About the author

Alex Sonna