Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania, Ndg. Charles Kichere alipomtembelea leo Juni 8, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor