marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

ibizabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

cratosroyalbet

marsbahis

marsbahis

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet güncel giriş

betebet

betgar, betgar giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

starzbet

Gamdom

grandpashabet giriş

bets10

bets10

bets10

bets10 giriş

bets10

netbahis

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

deneme bonusu 2026

kralbet

Grandpashabet

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

WADAU WA KILIMO WATAKIWA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Nane la Mwaka la Sera kwa Wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi jijini Dodoma

Sehemu ya washiriki wakiwa katika Kongamano la Nane la Mwaka la Sera kwa Wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi jijini Dodoma

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (wa tatu kushoto) akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe katika picha ya pamoja na wadau wa mazingira na kilimo mara baada ya kushiriki Kongamano la Nane la Mwaka la Sera kwa Wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAI

………………………………………………

Wadau wa kilimo wametakiwa kuungana kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kulinda na kuhifadhi misitu, vyanzo vya maji na rasilimali zote tegemeo la kiuchumi na kijamii.

Wito huo umetolewa Juni 6, 2022 na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis wakati akishiriki kwenye Ufunguzi wa Kongamano la Nane la Mwaka la Sera kwa Wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

Alisema Tanzania ina utajiri mkubwa wa misitu ndani Mashariki na Kusini mwa Afrika ambako takribani hekta milioni 48.1 ni eneo la misitu lakini pamoja na hayo takribani hekta 469,420 hupotea kila mwaka kwa sababu ya shughuli za kilimo, makazi, shughuli nyingine za kijamii.

Khamis aliwaomba wataalamu kuona nanma ya kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi hasa kuni na mkaa kwa kuhamasisha matumizi ya majiko ya kupikia yanayotumia nishati vizuri na mkaa wa kisasa. 

“Niwaombe wadau wetu wa kilimo, mifugo na uvuvi muangalie teknolojia, mbegu, afya ya udongo, mbolea  na viuatilifu ambavyo kwenye sekta hii vinaweza kusaidia sana katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi,” alisema Khamis. 

Alisema sehemu nyingi hapa nchini ambazo zilikuwa zina misitu na uoto wa asili, zilikuwa zinapata mvua mara mbili hadi tatu kwa mwaka na sasa hivi zinapata mara moja na pengine hakuna kabisa na hivyo shughuli za kilimo, ufugaji na uvuvi katika maeneo hayo zimeathirika.

Hivyo, alisema upotevu huu wa miti husababisha pia ongezeko la hewa ya ukaa ambayo huchangia kuongezeka kwa joto ambapo inakadiriwa kuwa hadi mwaka 2080, joto hapa nchini litakuwa limeongezeka kati ya nyuzi joto 1.40C hadi 3.60C na kupungua kwa mvua hivyo kuathiri shughuli za kiuchumi zikiwemo kilimo, ufugaji na uvuvi.  

Naibu Waziri Khamis alisema Ofisi ya Makamu wa Rais imejipanga kuhakikisha Sera, Sheria, miongozo na Mikakati mbalimbali ya Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi zinafanyiwa kazi.

Kongamano hilo la siku tatu  linalowashiriki wadau mbalimbali kutoka sekta za kilimo, mifugo, uvuvi na mazingira lina Kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika sekta ya mazao, mifugo, uvuvi na mazingira.

About the author

Alex Sonna