marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

Featured Kitaifa

MISA TANZANIA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI KUKUZA USAWA WA KIJINSIA KUPITIA VIPINDI VYA RADIO ZA KIJAMII NCHINI

Written by Alex Sonna

Meneja wa Mradi kutoka Misa Tanzania Bi.Neema Kasubiro akifafanua jambo kwa washiriki

wasilisha mada mwandishi mkongwe Abubakar Famau akieleza mbinu mbalimbali za kuandaa kipindi bora cha radio

Mtayarishaji vpindi Edward Lucas kutoka kituo cha redio Mazingira akielezea mafanikio na changamoto katika uandaaji wa vpindi vya usawa wa kijinsia katika kituo hicho.

Mtayarishaji vpindi Glory Kusaga kutoka kituo cha redio Uvinza akielezea mafanikio na changamoto katika uandaaji wa vpindi vya usawa wa kijinsia katika kituo hicho.

Washiriki wakitoa maoni kuhusiana na uandaaji wa vipindi vya usawa wa kijinsia.

……………………………………………

NA MWANDISHI WETU

TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA TANZANIA) imeendelea juhudi zake za kuwanoa waandishi wa habari ili kukuza usawa wa kijinsia kupitia vipindi vya radio za kijamii nchini.
MISA TANZANIA kwa kushirikiana na Vikes inaendesha mradi wa kuwajengea uwezo waandishi kutoka katika radio za kijamii nchini ili kutengeneza vipindi vitakavyoleta mabadiliko katika usawa wa kijinsia ikiwemo uhuru wa kujieleza miongozi mwa wanawake.
Akizungumza baada ya kikao kazi cha kupata mrejesho kutoka kwa waandishi kutoka mikoa mbalimbali nchini kilichofanyika jijini Dodoma mwishoni mwa wiki,Meneja mradi huo Neema Kasubiro amesema katika kipindi cha utekelezaji wa mradi huo kuna mabadiliko yanayoonekana katika uandaaji wa vipindi vya usawa wa kijinsia.
“Baada ya kuwajengea uwezo waandishi,wapo waliofikia hatua ya kuanzisha vipindi katika radio zao hili waweze kufanyia kazi elimu wanayoipata kuhusu usawa wa jinsia katika maudhui ya vipindi vya radio zao” alifafanua.
Neema amesema mradi huo utekelezaji wake umegawanyika katika awamu mbalimbali na kwa awamu hii ilianza January na itakamilka mwaka 2024 ikitarajiwa kujikita Zaidi katika kuboresha ubora wa maudhui katika mada za jinsia.
Akizungumza baada ya kusikiliza vipindi mbalimbali vilivyoandaliwa na waandishi hao,mwandishi mkongwe nchini Abubakar Famau amesema kwamba ili sauti za wanawake zisikike katika vyombo vya habari ni lazima waandishi wawe tayari kushirikisha jamii katika uandaaji wa vipindi vyao.
“Kama tutawashirikisha kwa kiwango kinachotakiwa nina uhakika lengo la kupata uhuru wa kujieleza kutoka kwa kundi kubwa la wanawake litatimia” alisema Famau.
Pia Famau amewataka waandishi wa vipindi vya redio nchini kufuata misingi ya uzalishaji wa vipindi hivyo ikiwemo matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili ili waweze kufikisha ujumbe kwa wasikilizaji kama ilivyokusudiwa.
Famau amebainisha kwamba bado kuna matatizo katika matamshi na uchaguzi usio faa wa maneno kwa baadhi ya watangazaji wa redio nchini
Hata hivyo kwa upande wa waandishi washiriki wa mradi huo wamebainisha kuwa licha ya mafanikio yaliyopatika tangu kuanza kwa utekelezaji wa mradi huo bado kuna changamoto zinazohitajika kutatuliwa ili kutimiza malengo.
Mratibu wa vipindi kutoka kituo cha radio cha Mazingira kilichopo wilayani Bunda,mkoani Mara Lucas Edward amesema ufinyu wa waandishi wa habari wa kujikita katika habari za jinsia imekuwa changamoto kubwa katika utekelezaji.
Kwa upande wake Glory Kusaga,mtangazaji wa kituo cha radio cha Uvinza toka mkoani Kigoma amesema uwepo wa mfumo dume katika jamii bado unaathiri ushiriki wa wanawake katika maudhui ya redio hivyo kuwa kikwazo kwa watayarishaji.
“Tunahitaji sana sauti za jinsia zote zisikike katika vipindi vyetu,lakini bado kuna wanawake hawawezi kuongea kwenye redio hadi wapate ruhusa za waume zao”amesema akiongeza kuwa hali hiyo usababisha wanawake kushindwa kushiriki kikamilifu kutoa maoni yao katika vyombo vya habari.

About the author

Alex Sonna