Featured Kitaifa

WIZARA YA MADINI KUTOA ELIMU KWA WACHIMBAJI NA WAZEE WA MILA ARUSHA

Written by mzalendoeditor

Wataalam kutoka Wizara ya Madini Leo tarehe 3 Juni, 2022 watatoa semina maalum kwa wazee wa Mila wilayani Longido Mkoa wa Arusha kwa ajili ya kuelemisha masuala mbalimbali itakayohusu Sekta ya Madini ikiwemo elimu ya Sheria ya Madini, Uchimbaji na usimamizi wa mazingira katika maeneo ya uchimbaji.

Aidha, watatoa elimu kuhusu ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) na Wajibu wa Makampuni kwa Jamii zinazonguka migodi (CSR).

About the author

mzalendoeditor