Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

Featured Kitaifa

WAZEE WA MILA, WACHIMBAJI WAELIMISHWA FURSA, SHERIA, USHIRIKI SEKTA YA MADINI

Written by Alex Sonna

IMEEELEZWA kuwa, mafunzo kwa wachimbaji na wazee wa mila yamelenga kutoa elimu katika masuala mbalimbali yatakayohusu Sheria ya Madini, uchimbaji na usimamizi wa mazingira katika maeneo ya uchimbaji ili kutambua taratibu za uwekezaji katika madini ikiwemo jinsi ya kupata leseni, uchimbaji bora na utunzaji wa mazingira.

Hayo yamebainishwa leo Juni 3, 2022 na Mkuu wa Wilaya ya Longido Nurdin Babu wakati akifungua mafunzo ya siku mbili yanatolewa na wataalamu wa Wizara ya Madini mkoani Arusha.

“Mafunzo hayo yatawasaidia kupata uelewa mpana wa shughuli zinazofanyika katika Sekta ya Madini na kupata elimu itakayowawezesha kupata maeneo kwa ajili ya uchimbaji,” amesisitiza.

Mkuu wa Wilaya Babu, amewataka watumie mafunzo hayo kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini kwa kupata elimu inayotolewa na wataalam kutoka Wizara ya Madini ili wapate elimu kwa manufaa ya wachimbaji wadogo wote nchini.

“Ninawataka mtumie mafunzo haya vizuri, waelewe, waulize maswali waliyonayo pale ambapo hawapaelewi ili wakitoka hapa watakuwa na elimu itakayowasaidia katika uchimbaji,” amesema.

Pia ameongeza kuwa, mafunzo hayo yatasaidia kupunguza changamoto walizonazo wachimbaji katika masuala ya Sheria, Leseni, Utafiti, Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini na Wajibu wa Makampuni kwa jamii zinazozunguka migodi.

Naye, Kamishna Msaidizi wa Uendelezaji Migodi, Theresia Ntuke amesema, mafunzo hayo yamelenga kuwasaidia wachimbaji na kufahamu namna ya kuwekeza ili waweze kunufaika na rasilimali madini iliyopo katika maeneo yao baada ya kupata elimu sahihi.

“Matarajio yetu ni kuwaona wawekezaji wananufaika na rasilimali madini tuliyonayo hususan kwa wenyeji wa hapa na kuepusha migogoro inayoweza kutokea,” amesisitiza.

Akizungumzia masuala ya Sheria, Afisa Sheria Mwandamizi wa Wizara ya Madini, Damian Kaseko amesema, mada aliyoitoa inalenga kuwaelimisha wazee wa mila ili kupata uelewa wa Sheria ya Madini katika uombaji wa leseni, usimamizi wa leseni na mambo mengine yanayosimamiwa na Sheria ya Madini.

Naye, Kamishna Msaidizi wa Usimamizi wa Mazingira, Gilay Shamika, akieleza Mpango wa Usimamizi wa Mazingira amesema, mmiliki wa leseni ya uchimbaji inamtaka mmiliki wa leseni ndogo ya uchimbaji kuandaa taarifa ya mambo ya msingi kwa kutumia mtaalam wa mazingira.

Pia amesema, mambo ya msingi yanayopaswa kufanyika wakati wa kuandaa mpango wa usimamizi wa mazingira ni kuonesha kama kuna makazi ya watu katika eneo hilo, historia ya urithi wa eneo na kuonesha aina ya uoto wa asili katika eneo hilo na aina ya udongo.

Kwa upande wake, Afisa Madini Mkazi wa Arusha, Mhandisi Alphonce Bikulamchi amesema, mafunzo hayo yatasaidia katika kuelimisha jamii kwa masuala mbalimbali katika Sekta ya Madini kuhusu taratibu za utoaji wa leseni, taratibu za uchimbaji madini na masuala ya mazingira ili iweze kufuata taratibu zilizopo kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura Namba 123 na Kanuni zake.

“Kumekuwa na umuhimu mkubwa sana wa kuleta elimu hii ya sheria ya madini katika maeneo haya ili kutoa uelewa kwa jamii ili iweze kuona manufaa yatokanayo na Sekta ya Madini katika maeneo yao,” ameongeza.

Mafunzo hayo ya siku mbili yamewakutanisha wachimbaji, wadau, wafanyabiashara wa madini na viongozi wa chama na Serikali ili kujadili kwa pamoja masuala mbalimbali katika Sekta ya Madini.

About the author

Alex Sonna