Featured Kitaifa

BENKI YA EXIM YAKUTANA NA WATEJA WAKE MKOANI SHINYANGA, YAJADILI FURSA ZA BIASHARA,UKUAJI NA HUDUMA ZAKE MPYA

Written by mzalendoeditor

Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda  akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoa wa Shinyanga wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoa wa Shinyanga wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Bw Elias Ramadhani Masumbuko akizungumza na wateja wa benki ya Exim mkoa wa Shinyanga kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo Bi Sophia Mjema wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Maofisa mbalimbali wa benki ya Exim wakijipongeza pamoja na wateja mbalimbali wa benki hiyo wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani Shinyanga iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Baadhi ya wageni waalikwa ambao ni wateja wa benki ya Exim kutoka mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye hafla hiyo.

Maofisa  waandamizi wa benki ya Exim akiwemo Meneja wa Benki ya Exim Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa Bw Amos Lyimo  (Kulia), Meneja wa Benki hiyo tawi la Shinyanga Bw Japhet Mazumira (wa pili kulia) pamoja na Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo wakibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa benki hiyo mkoa wa Shinyanga wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

About the author

mzalendoeditor