Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimkaribisha Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga (katikati) alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Peter Mathuki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Ugeni kutoka Bunge la Afrika Mashariki wakiongozwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga (kulia kwake) walipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Martin Ngoga alipomtembelea leo Mei 31, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleKUMEKUCHA:SIMBA YAMFUTA KAZI PABLO
Next articleSPIKA DKT. TULIA ATETA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA BUNGENI JIJINI DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here