Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

Pusulabet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

capitolbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

cratosroyalbet

timebet

İkimisli

onwin

cratosroyalbet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

imajbet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

kavbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

zirvebet

kavbet giriş

goldenbahis giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

trendbet

marsbahis giriş

holiganbet

jojobet

meritking

trust score weak 3

holiganbet

Canlı Casino Siteleri

stake giriş

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

imajbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

aresbet, aresbet giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

cratosroyalbet

stake

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

alobet, alobet giriş

holiganbet

piabet

piabet

marsbahis

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

teosbet

betgit

gameofbet

radissonbet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

cratosroyalbet

Hacklink panel

betturkey

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet giriş

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

meritking

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet giriş

meritking giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

piabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

jojobet

klasbahis

jasminbet

stresser

free stresser

ip stresser

stresser test

free ip stresser

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas

betine

jojobet

Featured Kitaifa

BENKI YA EXIM YAKABIDHI MSAADA WA MADAWATI 100 SHINYANGA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi  Sophia Mjema (Kushoto), Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Bw Elias Ramadhani Masumbuko (Katikati) na  Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda  (Kulia) wakiwa wameketi kwenye moja ya madawati 100 yaliyotolewa na benki ya Exim Tanzania ikiwa ni sehemu ya jititihaza za benki hiyo katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati mkoani humo wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni pamoja na Afisa elimu wa Mkoa huo Bi Neema Mkanga (Kushoto) maofisa waandamizi mkoa pamoja na  wafanyakazi wa benki hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi  Sophia Mjema (Kushoto) akipokea msaada wa madawati 100 kutoka kwa Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda  (Kulia) ikiwa ni msaada kutoka benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni pamoja na Meneja wa Benki ya Exim Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa Bw Amos Lyimo (Kulia) maofisa waandamizi mkoa pamoja na  wafanyakazi wa benki hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi  Sophia Mjema (Kushoto) akikagua msaada wa madawati 100 yaliyotolewa na benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa mwishoni mwa wiki.

Wakitoa shukrani zao kwa benki hiyo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Bw Elias Ramadhani Masumbuko (Kulia) na Afisa elimu wa Mkoa huo Bi Neema Mkanga (Kushoto) walionyesha kuridhishwa na viwango vya ubora wa madawati hayo huku wakibainisha kuwa msaada huo utasaidia zaidi kuboresha mazingira ya kufundishia kwa shule zitakazonufaika na madawati hayo.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi  Sophia Mjema (wa pili kulia) akisalimiana na Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda  (wa pili kushoto) wakati maofisa wa benki hiyo walipotembelea ofisi ya mkuu wa mkoa huyo ili kukabidhi msaada wa madawati 100 ikiwa ni msaada kutoka benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni pamoja na Meneja wa Benki ya Exim Kanda ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa Bw Amos Lyimo  (Kushoto) na Meneja wa Benki hiyo tawi la Shinyanga Bw Japhet Mazumira

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi  Sophia Mjema (katikati) Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Bw Elias Ramadhani Masumbuko (wa pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wa benki ya Exim walioongozwa na Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda  (wa tatu kulia) wakati maofisa hao wa benki hiyo walipotembelea ofisi ya mkuu wa mkoa huyo ili kukabidhi msaada wa madawati 100 ikiwa ni msaada kutoka benki ya Exim Tanzania katika kusaidia jitihada za mkoa huo kukabiliana na changamoto ya uhaba wa madawati mwishoni mwa wiki.

………………………………..

Na Mwandishi Wetu,Shinyanga

BENKI ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi  Sophia Mjema ili kuunga mkono jitihada za mkoa huo katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya elimu ikiwemo kero ya uhaba wa madawati. Madawati hayo yatagawanywa miongoni mwa shule zinazokabiliwa zaidi na changamoto ya uhaba wa madawati mkoani humo.

Akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi madawati hayo iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo,  Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda alisema  ni muendelezo wa mkakati wa  benki hiyo unaofahamika kama Exim Cares unayolenga kugawa madawati zaidi ya 1000 katika mikoa mbalimbali hapa nchini  na ni sehemu tu jitihada ambazo benki hiyo imekuwa ikifanya kusaidia jamii inayoizunguka.

Alisema kuwa benki hiyo imekuwa mstari wa mbele kushirikiana na serikali katika kufanikisha mipango mbalimbali hususani katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini hatua aliyoilezea kuwa ndio chachu ya maendeleo kwa sekta zote ikiwemo ya benki pia.

“Msaada hu unatarajiwa kuwanufaisha wanafunzi zaidi ya 300 kwa mwaka katika kipindi cha makadilio ya miaka 10. Mkakati wetu huu wa kusaidia katika elimu unatokana na imani yetu kwamba bila kuwa na jamii iliyoelimika hata huduma za kibenki tunazozitoa lazima zitateteleka kutokana na ukweli kuwa biashara yetu hii inategemea sana mafanikio ya jamii inayotuzunguka…mafanikio ambayo tunaamini yataletwa na elimu,’’ alisema.

Alisema tangu kuanza kwa mkakati huo uliozinduliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwishoni mwa mwaka jana, tayari jumla ya madawati 500 yameshakabidhiwa katika mikoa ya Lindi, Dodoma, Mwanza, Mbeya na Shinyanga. 

Akizungumza mara tu baada ya kupokea msaada huo, Mkuu Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Mjema pamoja na kuishukuru benki hiyo kwa msaada huo alisema msaada huo umepatikana kwa wakati muafaka kwa kuwa mkoa huo unaendelea na mkakati wake wa kuboresha elimu kwa kuboresha mazingira ya masomo kwa wanafunzi.

“Katika kufanikisha hili Rais Samia Suluhu amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha sisi kama mkoa tunapata mahitaji yote muhimu katika elimu ikiwemo ujenzi wa vyumba vya madarasa na maslahi ya watumishi. Inapotokea wadau kama benki ya Exim wanatusaidia pia kwa msaada kama huu wa madawati wanakuwa wameunga mkono jitihada za serikali na hivyo kurahisisha ndoto za Mheshimiwa Rais ambazo ni kuboresha zaidi sekta ya elimu,’’ alisema.

Wakitoa shukrani zao kwa benki hiyo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Bw Elias Ramadhani Masumbuko na Afisa elimu wa Mkoa huo Bi Neema Mkanga walionyesha kuridhishwa na viwango vya ubora wa madawati hayo huku wakibainisha kuwa msaada huo utasaidia zaidi kuboresha mazingira ya kufundishia kwa shule zitakazonufaika na madawati hayo.

“Tunawashukuru sana benki ya Exim kwa msaada huu na tunatarajia kwamba wadau wengine wataendelea kuiga mfano huu ili kwa pamoja tusaidiane kukabiliana na changamoto hii. Kwasasa mkoa unakabiliwa na uhaba wa madawati 2500 huku jitihada za kutengeza madawati mengi zikiendelea kupitia VETA kupitia ofisi ya Mkurugenzi. Hivyo milango bado ipo wazi kwa wadau wengine kwa kuwa  jitihada za pamoja ni muhimu zaidi,’’ alisema Bi Mkanga

About the author

Alex Sonna