RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Prof.Abdulrazak Gurnah, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi (2021) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 26-5-2022.akiwa Zanzibar kwa matembezi na kuhudhuria  Tamasha la Sanaa na  Utamaduni wa Muafrika lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi (2021) Prof Abdulrazak Gurnah. alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, akiwa Zanzibar kwa matembezi na kuhudhuria, Tamasha la Sanaa na Utamaduni wa Muafrika lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi (2021) Prof.Abdulrazak Gurnah, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-5-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi (2021) Prof.Abdulrazak Gurnah.(kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utali na Mambo ya Kale Zanzibar. Mhe.Simai Mohammed Said, baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-5-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi (2021) Prof.Abdulrazak Gurnah, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-5-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)  

Previous articleMAJALIWA: WANAOTOA ARDHI WALIPWE FIDIA
Next articleRAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI GHANA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here