Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA ANGLOGOLD ASHANTI CHAMWINO IKULU

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Dkt. Alberto Calderon mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya AngloGold Ashanti Dkt. Alberto Calderon mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 23 Mei, 2022.

About the author

mzalendoeditor