Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde, bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na kocha Msaidizi wa Namungo FC, Jamhuri  Kihwelu (Julio) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 23, 2022. Katikati ni Mbunge wa Mheza, Hamisi Mwinjuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Ramadhan  Kailima kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Michaud ya Karatu mkoani Arusha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei  23, 2022.  Mstari wa mbele kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor