Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

DKT.MABULA:’WIZARA IMETOA FEDHA SH.BIL.50 HALMASHAURI 55 KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI

Written by Alex Sonna

p style=”text-align: center;”>Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula akizungumza katika mkutano wa majadiliano ya Kisekta kati ya Wizara na wadau wa sekta ya ardhi, Nyumba na Makazi uliofanyika leo Mei 23,2022 Jijini  Dar es Salaam Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula akisisitiza jambo wakati akizungumza katika mkutano wa majadiliano ya Kisekta kati ya Wizara na wadau wa sekta ya ardhi, Nyumba na Makazi uliofanyika leo Mei 23,2022 Jijini  Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt.Allan Kijazi akizungumza katika mkutano wa majadiliano ya Kisekta kati ya Wizara na wadau wa sekta ya ardhi, Nyumba na Makazi uliofanyika leo Mei 23,2022 Jijini  Dar es Salaam Kaimu mwenyekiti wa Sekta Binafsi (TPSF) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC), Bi.Mercy Silla akizungumza katika mkutano wa majadiliano ya Kisekta kati ya Wizara na wadau wa sekta ya ardhi, Nyumba na Makazi uliofanyika leo Mei 23,2022 Jijini  Dar es Salaam Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC),Godwill Wanga akizungumza katika mkutano wa majadiliano ya Kisekta kati ya Wizara na wadau wa sekta ya ardhi, Nyumba na Makazi uliofanyika leo Mei 23,2022 Jijini  Dar es Salaam Wadau mbalimbali wa sekta ya ardhi wakiwa katika mkutano wa majadiliano ya Kisekta kati ya Wizara na wadau wa sekta ya ardhi, Nyumba na Makazi uliofanyika leo Mei 23,2022 Jijini  Dar es Salaam

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

********

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

WIZARA ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewezesha kutafuta fedha za kugharamia utekelezaji wa miradi ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi ambapo Wizara imetoa kiasi cha Bilioni 50 kwa halmashauri 55 ili kufanikisha mradi huu.

Ameyasema hayo leo Mei 23,2022 Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula katika Mkutano wa majadiliano ya Kisekta kati ya Wizara na wadau wa sekta ya ardhi, Nyumba na Makazi.

Amesema utekelezaji huo unafanyika kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na TAMISEMI.

Aidha amesema Wizara imewezesha upatikanaji wa mkopo wa benki ya dunia kiasi cha shilingi Bilioni 340.5 ambao pamoja na kazi zingine uttawezesha kuimarisha miundombinu ya TEHAMA na Usalama wa miliki.

Hata hivyo amesema Wizara imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za utatuzi wa changamoto zinazojitokza ikiwemo, kuimarisha mifumo ya utoaji wa huduma za ardhi, kuendelea kuimarisha na kuziwezesha Ofisi za Ardhi zilizopo katika kila mkoa katika kuhakikisha huduma zinapatikana karibu na wananchi.

“Wadau na wamiliki wote wa ardhi mtumie utaratibu wa ukadiliaji na upimaji kodi ya pango la ardhi ki-elekroniki kwa kuwa utaratibu huu ni rafiki, unaokoa muda na ni nafuu”. Amesema Waziri Mabula.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt.Allan Kijazi amesema kupitia mkutano huo watapokea maoni ya sekta binafsi kuhusu maboresha yanayotakiwa kufanyika kwenye sekta ya ardhi na lengo ikiwa ni kuchochea mchango  wa sekta hiyo katika kukuza uchumi jumuishi na kukuza maendeleo ya jamii na kuhakikisha uendelevu wa mifumo ya kimazingira.

“Sekta binafsi inamchango mkuwa kwenye maboresho ya sekta ya ardhi nchini kwani inatoa mchango mkubwa kwenye ubunifu, upatikanaji wa mitaji na uwekezaji ambao huchangia kwa kiasi kikubwa kwenye shughuli za uzalishaji hasa katika sekta ya viwanda, kilimo, mifugo na shughuli nyingine nyingi za maendeleo”. Amesema 

Amesema ufanisi wa sekta hizi unategemea kwa kiasi kikubwa kuwa na mifumo ya usimamizi na uendelezaji wa sekta ya ardhi ambayo inaweza kujenga mazingira wezeshi bila kukwamisha mipango ya sekta nyingine.

Nae Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC),Godwill Wanga amesema wameanzisha mkutano huo ili kukutanisha Wizara na Taasisi mbalimbali za serikali na wadau wa sekta binafsi ili kujadili changamoto, fursa na maboresho kwaajili ya kukuza mchango wa sekta katika maendeleo ya uchumi na jamiii nchini.

About the author

Alex Sonna