Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID BARWAN MLANDEGE UNGUJA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husssein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar akiondoka baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 20-5-2022 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor