Featured Kitaifa

NAIBU SPIKA ZUNGU ATETA NA SPIKA MSTAAFU WA BUNGE LA KENYA BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akimpokea Spika Mstaafu wa Bunge la Kenya, Mhe. Francis Ole Kaparo alipomtembelea leo tarehe 20 Mei, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Kenya, Mhe. Francis Ole Kaparo alipomtembelea leo tarehe 20 Mei, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), pamoja na mgeni wake Spika Mstaafu wa Bunge la Kenya, Mhe. Francis Ole Kaparo wakitambulishwa wakati wa Mkutano wa Saba Kikao cha Ishirini na Saba leo tarehe 20 Mei, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), pamoja na Spika Mstaafu wa Bunge la Kenya, Mhe. Francis Ole Kaparo (wapili kushoto mbele) pamoja na Mke wa Spika huyo Mstaafu, Mhe. Sarah Paulata (wapili kulia mbele) wakishuhudia kipindi cha maswali na majibu wakati wa Kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa Saba leo tarehe 20 Mei, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akiambatana na mgeni wake ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Kenya, Mhe. Francis Ole Kaparo (katikati) pamoja na Mke wa Spika huyo Mstaafu, Mhe. Sarah Paulata (wapili kulia) wakiwa katika ukumbi wa Bunge kushuhudia kipindi cha maswali na majibu wakati wa Kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa Saba leo tarehe 20 Mei, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akizungumza na mgeni wake ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Kenya, Mhe. Francis Ole Kaparo (katikati) pamoja na Mke wa Spika huyo Mstaafu, Mhe. Sarah Paulata (kulia) baada ya kushuhudia kipindi cha maswali na majibu wakati wa Kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa Saba leo tarehe 20 Mei, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.

PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor