Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati, bungeni jijini Dodoma, Mei 20, 2022.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor