Featured Kitaifa

RC SOPHIA MJEMA AZINDUA CHANJO YA UGONJWA WA KUPOOZA ‘POLIO’ MKOA WA SHINYANGA

Written by mzalendoeditor
 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akimpa mtoto matone ya Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga ambapo takribani watoto 450,000  wenye umri chini ya miaka mitano  mkoani Shinyanga wanatarajiwa kufikiwa/kupatiwa chanjo ya Polio kuanzia Mei 18 hadi Mei 21,2022. Chanjo hiyo itatolewa nyumba kwa nyumba na kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watoto likiendeshwa na timu ya wataalamu 855.
 
 Polio ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Polio ambacho huenezwa kwa kula chakula na kunywa maji yaliyochafuliwa na kinyesi cha mtu mwenye ugonjwa huo.
 
 Ugonjwa wa Polio huathiri zaidi watoto wenye umri chini ya miaka mitano ambapo dalili za ugonjwa huu ni Homa, mafua,maumivu ya mwili,kichwa na shingo au ulemavu wa ghafla wa viungo vya mwili.
 
 Ugonjwa wa Polio hushambulia mishipa ya fahamu hatimaye husababisha kupooza kwa misuli hasa ya miguu, mikono au yote kwa pamoja na mwingine misuli ya kifua inayosaidia kupumua na kusababisha kifo. Polio husababisha ulemavu wa kudumu.
 
“Kumbuka kila tone la chanjo ya Polio litaiweka Tanzania salama dhidi ya ugonjwa wa  kupooza…Mpe Mtoto Matone…Okoa Maisha”
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akimpa mtoto matone ya Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akimpa mtoto matone ya Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akimuwekea  mtoto  alama ya kuwa amepata Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga

Mtaalamu wa afya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga akiendelea kutoa Chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati akizindua Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
Mwakilishi Wizara ya  Afya, Aziz Sheshe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
 Mganga Mkuu Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
Afisa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Milipuko – Shirika la Afya Duniani (WHO) Ofisi ya Tanzania Dkt. George Kauki (kulia), Mwakilishi Wizara ya  Afya, Aziz Sheshe (katikati) na Mwakilishi wa OR- TAMISEMI, Carle Silas Lyimo (kushoto) wakiwa kwenye uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
Mkazi wa Shinyanga Venance Mahona akitoa ushuhuda kuhusu umuhimu wa Chanjo ya polio kwa mtoto wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
Mkazi wa Shinyanga Lighness Mnuo akitoa ushuhuda kuhusu umuhimu wa Chanjo ya polio kwa mtoto wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
Mkazi wa Shinyanga Betisheba George akitoa ushuhuda kuhusu umuhimu wa Chanjo ya polio kwa mtoto wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
Wazazi wakiwa kwenye uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Mei 18,2022 katika viwanja vya Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga
Wadau wakiwa kwenye uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akisalimiana  na Mwakilishi Wizara ya  Afya, Aziz Sheshe (katikati) Afisa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Milipuko – Shirika la Afya Duniani (WHO) Ofisi ya Tanzania Dkt. George Kauki (kulia) na Mwakilishi wa OR- TAMISEMI, Carle Silas Lyimo (kushoto) wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Polio kwa watoto wenye umri chini ya umri wa miaka mitano Mkoa wa Shinyanga.
 
 Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

mzalendoeditor