Featured Kitaifa

PICHA:WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI LEO DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati, Stephen  Byabato, bungeni jijini Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,  Jaji  Dkt. Eliezer Feleshi,  bungeni jijini Dodoma,

Maafisa Ugani wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati alipowasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023, bungeni jijini Dodoma, Mei 17, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor