Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

palacebet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

SERIKAL PAMOJA NA ICS WAZINDUA PROGRAMU TUMISHI YA ELIMU YA MALEZI (ParentApp)

Written by Alex Sonna

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene,akizungumza wakati  akifungua kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia kwa niaba ya Waziri mkuu ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi maalum Dk. Dorothy Gwajima,akizungumza wakati wa kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia  ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali (ICS) Kudely Sokoine,akitoa salam za ICS wakati wa kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia  ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

       

SEHEMU ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali wakati wa kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia  ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

 

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene,akizindua program Tumishi ya ParentApp kwa wazazi/walezi wa Tanzania iliyozinduliwa  leo Mei 15,2022 jijini Dodoma wakati wa  kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene,akiweka saini yake mara baada ya kuzindua program Tumishi ya ParentApp kwa wazazi/walezi wa Tanzania iliyozinduliwa  leo Mei 15,2022 jijini Dodoma wakati wa  kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene,akipata maelezo kuhusu programu hiyo kutoka kwa Meneja wa Programu hiyo ambaye pia ni Mtaalamu wa Malezi na Makuzi Bora ya Mtoto kutoka shirika la ICS, Sabrina Majikata mara baada ya kuzindua program Tumishi ya ParentApp kwa wazazi/walezi wa Tanzania iliyozinduliwa  leo Mei 15,2022 jijini Dodoma wakati wa  kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu wa Bunge, George Simbachawene,akiwa katika picha pamoja na wadau wa shirika la ICS mara baada ya kuzindua program Tumishi ya ParentApp kwa wazazi/walezi wa Tanzania iliyozinduliwa  leo Mei 15,2022 jijini Dodoma wakati wa  kongamano la kitaifa la malezi ya watoto na familia ambapo Tanzania imeungana na nchi nyingine Duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Familia inayofanyika kila mwaka tarehe 15 Mei.

 

………………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

SERIKALI pamoja lisilo la kiserikali la ICS wamezindua pragramu Tumishi ya Elimu  ya ParentApp kwa wazazi/walezi wa Tanzania yenye lengo la kutoa elimu ya Malezi na Makuzi Bora ya mtoto kwa wazazi na walezi hao wenye watoto wa miaka 10 hadi 17.

Hayo yamesemwa jijini Dodoma Mei 15, 2020 na Meneja wa Programu hiyo ambaye pia ni Mtaalamu wa Malezi na Makuzi Bora ya Mtoto kutoka shirika la ICS, Sabrina Majikata mara baada ya uzinduzi huo ulioenda sambamba na kongamano la Kitaifa la Malezi ya watoto na familia lenye kauli mbiu isemayo “Dumisha Amani na Upendo kwa Familia Imara: Jitokeze kuhesabiwa” amesema ParentApp inawalenga wazazi na walezi wenye watoto wa miaka kuanzia miaka 10 hadi 17.

Amesema kuwa katika siku hiyo  wao kama shirika wameshirikiana na serikali kuweza kuzindua programu Tumishi kwa Malezi ya wazazi na walezi hapa nchini ambayo inatumia  simu ya janja.

Bi.Sabrina amesema kuwa  amesema kuwa mzazi au mlezi atapakua programu hiyo  ambapo ataitumia bila kuwa na mtandao ambayo imetengenezwa mahususi wakati wowote wazazi na walezi hao watapata stadi za Malezi na Makuzi Bora ya mtoto.

Ameongeza kuwa serikali pamoja na wadau wamekuwa wakishirikiana kutoa elimu ya malezi kupitia makundi na kwamba changamoto ambazo wekutana nazo ni wazazi wengi kutokukutana kushiriki mafunzo wakiwa kwenye vikundi.

” Tumekuja na ubunifu huu kwa wazazi na walezi wakati wowote wakiwa huru kuweza kutumia program hii na kuweza kujifunza. Programu hii inaweza kuwapunguzia mzazi au mlezi kuondokana na changamoto anazozipata kama tunavyotambua changamoto za malezi  mara nyinyi wamekuwa wakizidiwa na kushindwa kuzitatua,” amesema Sabrina.

Aidha amesema kuwa programu hiyo pia inaweza kumpa  fursa mzazi kujifunza njia mbalimbali za kuondokana na msongo wa mawazo anayoyapata kwa sababu ya changamoto za malezi ya mtoto na kumpa dondoo za namna gani anaweza kumsaidia kijana wake.

Ametolea mfano serikali inavyohangaika na vijana wanaojiita Panya Road ka na kusema kuwa  hilo ni tatizo ambalo wazazi wameshindwa  kutatua ndio maana  wameenda kujiingiza katika makundi ambayo hayana faida.

“Tunaamini kuwa programu hii wakiitumia watajua ni kwa namna gani wanaweza kutumia kwa vijana wao ili waweze kuwaokoa katika hatua waliyofikia,” amesema .

Hata hivyo amesema kuwa hatua wanayoipiti vijana hao  ni hatua ya  malezi na ukuaji ambayo inachangamoto nyinyi na inahitaji wazazi kuwa na stadi za kutosha ili kuwasaidia watoto hao kuweza kuvuka hatua hiyo.

Kwa upande wake Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi maalum Dk. Dorothy Gwajima,amelipongeza Shirika hilo kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.

”SIsi kama Serikali tunawapongeza ICS kwa kuendelea kuiunga mkono Serikali katika
kutekeleza afua zinazohusiana na kuimarisha na kujenga uchumi katika ngazi ya kaya na jamii, stadi za malezi na makuzi bora ya mtoto kwa wazazi/walezi pamoja na kuimarisha mifumo ya ulinzi na usalama wa wanawake na watoto, kutokomeza ukatili wa kijinsia, kuboresha mazingira ya usalama wa watoto ndani na nje ya shule,”amesema Dk.Gwajima

Dk.Gwajima amesema kuwa anatambua kuwa ICS wanendelea na kutekeleza miradi mbalimbali katika mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Kilimanjaro.

Naye Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali (ICS) Kudely Sokoine,amesema kuwa shirika hilo limejikita katika kushirikiana na serikali kutekeleza afua zinazohusiana na kuimarisha na kujenga uchumi katika ngazi ya kaya na jamii, stadi za malezi na makuzi bora ya mtoto kwa wazazi/walezi na  kuimarisha mifumo ya ulinzi na usalama wa wanawake na watoto.

Bw. Sokoine amesema,shirika hilo linaamini msingi wa Taifa lolote imara na lenye nguvu kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiroho unaanza katika familia.

“Katika kuadhimisha siku hii ya kimataifa ya familia Sisi kama ICS tunaamini ni katika familia ndiko watoto wanakofundishwa na kupandikizwa maadili mema, upendo, utu, heshima,  uwajibikaji, uzalendo na kuipenda jamii na taifa lao kwa ujumla.”amesema Kudely  na kuongeza kuwa

“ Na kwa msingi huo tunapokua na familia zilizo bora zinaunda jamii bora na jamii bora zinaunda taifa imara.

Aidha Mkurugenzi huyo amesema,katika kuunga juhudi za kujenga familia bora na Taifa imara ,shirika hilo linashirikiana na Serikali katika kutekeleza mpango wa taifa wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

“Katika maeneo 8 (thematic areas) sisi tunatekeleza 6 na timu ya Wizara imeshafika Mkoani Shinyanga zaidi ya mara tatu kwa nyakati tofauti wakaenda mpaka vijijini kabisa kukutana na wananchi na kuona jinsi tunavyotekeleza mpango huu kwa vitendo na matokeo yanayopatina. “ameeleza Bw.Sokoine

About the author

Alex Sonna