slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU:’WATANZANIA TUITANGAZE FILAMU YA ROYAL TOUR’

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour Mkoa wa Dodoma uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DK.Tulia Ackson ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour Mkoa wa Dodoma uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.  Hassan Abbas,akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour Mkoa wa Dodoma uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour Mkoa wa Dodoma uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere,akizungumza wakati wa uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour Mkoa wa Dodoma uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka Kwenye uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

SEHEMU ya washiriki wakifatilia uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi kwa naiba ya  Rais Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka Kwenye uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour uliofanyika katika  ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika uzinduzi wa filamu ya The Tanzania Royal Tour katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma,Mei 15, 2022. Kutoka kushoto ni Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana, Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan  Abbas, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Mstaafu, Anne Makinda.

……………………………………………..

Na Bolgas Odilo-DODOMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waunge mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuitangaza kwa bidii filamu ya Royal Tour pamoja na vivutio mbalimbali vilivyoko nchini.

“Ninawasihi Watanzania tusishawishike kudharau vya kwetu, tusimame pamoja kutangaza vivutio vyetu na kupitia utalii huu, tutafungua ajira kwa waongoza utalii na kada nyinginezo,” amesema.

Ametoa wito huo leo usiku (Jumapili, Mei 15, 2022) wakati akizungumza na viongozi mbalimbali na mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma waliofika kushuhudia uzinduzi wa filamu hiyo, kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

“Baada ya hapa, wana Dodoma twende tukaisemee filamu hii kwa kutumia simu zetu na mitandao ya kijamii,” amesema Waziri Mkuu ambaye alikuwa akimwakilisha Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango.

Amesema kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour kumefungua zaidi milango ya utalii na kwani baada tu ya uzinduzi Tanzania ilipokea watalii 796 kutoka Israeli ambao walikuja kwa ndege tatu zilizofuatana.

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwataka Wakuu wengine wa Mikoa watenge siku moja na kuwashirikisha wananchi wao washuhudie kazi kubwa ambayo imefanywa na Mheshimiwa Rais.

“Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mheshimiwa Mtaka yeye kaanza. Ni vema Wakuu wengine wa Mikoa watafute siku moja ya kuwaonesha watu wao, wanaweza kuchagua hata kwenye ngazi ya Halmashauri ili waone juhudi za Mheshimiwa Rais wetu,” amesisitiza.

Amesema kitendo cha Mheshimiwa Rais Samia kuruka kwa ndege na kuonesha kwa karibu kilele cha Mlima Kilimanjaro, kimekata mzizi wa fitna juu ya mahali halisi ulipo mlima huo. “Mheshimiwa Rais amekata mzizi wa fitina na kuithibitishia dunia kuwa Mlima Kilimanjaro uko Tanzania.”

Akielezea fursa zilizopo kwenye mkoa wa Dodoma, Waziri Mkuu ametaja kilimo cha zabibu, usindikaji wa mvinyo, ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), eneo la kuandaa wapigania uhuru wa Namibia, Angola, Afrika Kusini, Zimbabwe na Msumbiji, mapori ya akiba ya wanyamapori ya Mkungunero na Swagaswaga na mazalio ya wanyama ya hifadhi ya Tarangire kama baadhi ya vitu vinavyoweza kuuinua mkoa huo.

“Uendelezaji wa vivutio hivi utawafanya wakazi wa Dodoma wapate mahali pa kupumzikia, nawasihi wawekezaji waje Dodoma sababu ni mahali sahihi kwa uwekezaji na utalii.”

“Si hivyo tu, fimbo ya Mtemi Mazengo iko Dodoma,  baiskeli yake aliyotumia iko Dodoma, kaburi lake liko Dodoma na pia nyumba ya kuhifadhi madini iliyojengwa mwaka 1925. Ninatoa wito kwa Bodi ya Utalii ishirikiane na uongozi wa Mkoa wa Dodoma ili kuhifadhi vivutio hivi.”

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.  Hassan Abbas alisema matarajio ya awali yalikuwa kuwafikia watu bilioni moja lakini kutokana na tafiti za kisasa, matarajio ya sasa ni kuwafikia watu bilioni mbili.

Alisema filamu ya Royal Tour ni fursa ya pekee ya kuitangaza Tanzania, ni fursa ya kutandaa duniani (networking) kwani imemuwezesha Mheshimiwa Rais kukutana na wafanyabiashara maarufu na wamiliki maarufu wa makampuni makubwa duniani ya utalii, filamu, meli za utalii na mahoteli maarufu.

Naye,Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka amesema serikali ya mkoa wa Dodoma ina nafasi kubwa katika kuufanya mkoa wa Dodoma kuwa mkoa wa utalii nchini.

Mtaka amesema Mkoa wa Dodoma una sehemu mbalimbali za utalii ikiwemo utalii wa michoro ya mapango  Kondoa , Dodoma ,utalii wa Zabibu.

Aidha,Mtaka amesema ,katika mkoa wa Dodoma una utalii wa miradi mbalimbali na kuwataka watanzania kuchangamkia fursa za mkoa.

“Dodoma tuna utalii wa miradi,tunatamani kila mtanzania apate fursa ya kuwekeza katika mkoa wa Dodoma ,tutahakikisha tunachepusha sekta binafsi mkoa wa Dodoma,na kuhakikisha unakuwa mkoa kila mfanyabiashara ananufaika na makao makuu ya nchi”amesema.

Kuhusu utalii wa mikutano Mkuu huyo wa mkoa amesema sasa mkoa wa Dodoma una una sehemu mbalimbali ya mikutano hivyo imekuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa sekta binafsi.

“Tunahamasisha utalii wa mikutano,watu waone ni fursa kubwa katika mkoa wa Dodoma ,Dodoma ni mji wa serikali itapendeza Zaidi katika kusaidia na kuchochea ukuaji wa sekta binafsi.

Uzinduzi wa Royal Tour Mkoa wa Dodoma umezinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa kwa niaba ya Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwemo mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere,Waziri wa  Maliasili na Utalii,Pindi Chana,Spika wabunge Dkt.Tulia Ackson ,wananchi na wafanyabiashara mkoa wa Dodoma ambapo unarushwa mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Ikumbukwe Uzinduzi wa Royal Tour umeshafanyika jijini Arusha,Zanzibar pamoja na Dar es Salaam na leo umezinduliwa Mkoa wa Dodoma.

About the author

Alex Sonna