Featured Kitaifa

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AWAAPISHA VIONGOZI WA DINI NA MAKADHI WA ZANZIBAR IKULU

Written by mzalendoeditor
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Sheikh Hassan Othman Ngwali kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022.
SHEIKH Hassan Othman Ngwali akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Sheikh Othman Ame Chum kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor