Featured Kitaifa

WANANCHI WILAYANI SONGWE WAELIMISHWA KUHUSU UMUHIMU WA VIWANGO VYA UBORA WA BIDHAA

Written by mzalendoeditor

Afisa udhibiti ubora (TBS) Bi. Doris Mchwampaka akitoa elimu ya Viwango, namna ya kutuma malalamiko kupitia namba ya bure (0800110827) na umuhimu wa kusoma taarifa za kwenye bidhaa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Maweni na msingi Oysterbay wakati wa kampeni ya kuelimisha umma wilayani Songwe. .Afisa Udhibiti Ubora (TBS) Bw.Jitunze Sanga akitoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya umuhimu wa kusajili bidhaa na majengo ya chakula na vipodozi katika stendi ya mabasi Songwe na soko la Mkwajuni wilayani Songwe.
TBS inaendelea na kampeni ya kuelimisha umma katika ngazi ya wilaya iliyoanza tarehe 06.05.2022 .

About the author

mzalendoeditor