Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Ghana ukiongozwa na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni, Mhe. Habib Iddrissu (kulia kwake) ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni kutoka Bunge la Ghana, Mhe. Habib Iddrissu (katikati) na Naibu Mnadhimu Mkuu wa kambi ya walio wachache kutoka Bunge la Ghana, Mhe. Ahmed Ibrahim pale ugeni kutoka Bunge hilo ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Previous articleWIZARA YA ELIMU YAWASILISHA BAJETI YAKE BUNGENI  YAOMBA TRILIONI 1.49
Next articleMATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here