Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

palacebet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

Featured Kitaifa

WABUNGE WATOA MAONI YA MABORESHO YA SERA YA ELIMU NA MABADILIKO YA MITAALA

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akizungumza wakati wa Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

WAZIRI wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda,akimsikiliza Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo wakati Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof.Patrick Ndakidemi (CCM),akichangia hoja wakati Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

Mbunge wa Kasulu Vijijini (CCM) Mhe.Augustino Vuma,akichangia hoja wakati Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

MBUNGE wa Viti Maalumu CCM kupitia Kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Mhe Neema Lugangira,akichangia hoja wakati Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

Mbunge wa Ubungo (CCM) Prof.Kitila Mkumbo,akitoa ushauri kwa Serikali wakati Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala,akichangia hoja wakati Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

Mbunge wa Viti Maalumu akiwakilisha kundi la Vijana Mhe Judith Kapinga,akichangia hoja wakati Mkutano wa kupokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia leo Mei 7,2022 bungeni jijini Dodoma.

……………………………………………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

WIZARA ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imepokea maoni ya maboresho ya Sera ya Elimu na Mabadiliko ya Mitaala kutoka kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakichangia maoni yao wabunge hao leo Mei 7,2022 jijini Dodoma katika Mkutano wa kupokea maoni ya wabunge juu ya maboresho ya sekta ya elimu na mabadiliko ya mitaala ya elimu ya msingi.

Wabunge hao wameishauri serikali kutumia lugha ya Kiingereza katika kufundishia badala ya kulikimbia tatizo la kutokuwa na walimu wenye uweledi wa kufundisha kwa lugha ya kiingereza, walimu hao wanatakiwa kwenda kunolewa ili wapatikane walimu stahiki.

Akichangia hoja hiyo Mbunge wa Viti Maalumu, Shari Raymond(CCM) amesema kuwa watoto wa zama hizi hawaijui lugha mama (lugha za makabila) zaidi ya Kiswahili hivyo ni vema wakafundishwa kwa kutumia kiingereza.

“Bado hatujafikia wakati wa sisi kutumia lugha yetu Kiswahili kufundishia masomo, kiingereza kipewe kipaumbele tena kianze  kutumika kuanzia darasa la kwanza,”amesema

Kwa upande wake Mbunge wa Ubungo, Prof.Kitila Mkumbo(CCM) akichangia hoja hiyo, amesema kuwa  nchi za Asia kama vile Singapore  inatumia kiingereza na kufanikiwa kukua kiuchumi.

Prof.Mkumbo amesema kuwa  badala ya kulikimbia tatizo ni vema kulitibu kwa maana kuwa kama hakuna walimu wa kingereza, wafundishwe na kupatikana walimu stahiki wa kufundisha lugha hiyo.
‘Naishauri  Serikali iondoe kodi kwa wamiliki wa shule binafsi ili wajitokeze wengi kufungua shule nyingi na kupunguza uhaba wa ajira za walimu nchini.”amesema Prof.Mkumbo

Naye Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof.Patrick Ndakidemi (CCM) amesema kuwa  Tanzania isipotumia kiingereza watanzania watapata tabu kupata ajira nje ya nchi.

“Kuhusu lugha ya kutumia nitakuwa mkweli, mfano tukisema tunakwenda na kiswahili moja kwa moja ilihali hatutajiandaa kuwa na maneno kamilifu ya kiswahili kwenye sayansi, ukitoka hapa na kiswahili chako ukienda Kenya, Uganda au pengine utabaki hapo hapo Tanzania..

“Mawazo yangu kuhusu lugha ni kwamba lugha ya kiingereza inatumika duniani kote, hivyo tuipe kipaumbele la sivyo tutakapotoka hapa kwenda kwa wenzetu tutapigwa goli,” amesema

Ametolea mfano majairani nchini Kenya, akisema kuwa Wakenya wanawazidi Watanzania katika soko la ajira kwa sababu wanajua kiingereza.

Awali, Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia  Prof.Adolf Mkenda,amesema kuwa  hadi kufikia Disemba mwaka huu atahakikisha rasimu ya maboresho ya sera na mitaala yake imepatikana wakati kufikia Januari mwaka 2023 wataanza mchakato wa kupata idhini serikalini.

“Tumezungumza na wabunge lakini tutakuwa na Kongamano mwisho wa mwezi huu tutaleta wadau wengi kuendelea kupokea maoni tena, tutapokea maoni mtandaoni na kwenye simu halafu tutakuwa na makundi ya kujadili, pia mwisho wa mwezi wa sita tutakuwa na mkutano mkubwa kimataifa wa elimu utafanyika Dar es salaam, mkutano unahitaji wataalamu zaidi tutakuwa na kubadilishana mawazo na sisi tutatumia fursa hiyo kusikilizia wenzetu wamefanya nini,”amesema.

Prof.Mkenda amesema kuwa dunia hivi sasa ina msukumo mkubwa wa mageuzi ya elimu ambapo kuna mpango wa kusamehe madeni au kupata misaada kwenye nchi zinazofanya mageuzi ya elimu.

“Mageuzi tunayokwenda nayo yatakuwa ni makubwa kwa nchi yetu hatutaki kubahatisha, hatuhitaji kukurupuka ndio maana tunahitaji sana kusikiliza maoni yetu,”amesema.

 

About the author

Alex Sonna