Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA BALOZI POLEPOLE

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole kabla ya mazungumzo yao kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole  kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor