Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:WAZIRI MKUU BUNGENI LEO DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda wakati alipotoka kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma,

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete kwenye viwanja vya Bunge jijini dodoma, Mei 6, 2022. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Felister Njau

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete  (kulia) kwenye viwanja vya Bunge jijini dodoma, Mei 6, 2022.   Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Felister Njau.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia ,  Omary Kipanga, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala la Mikoa na Serikali za Mitaa, Dkt. Festo Dugange  na Mbunge wa Viti Maalum Kabula Shitobelo (katikati), bungeni jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu,  Ummy Nderiananga, bungeni jijini Dodoma, Mei 6, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor