Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:WAZIRI MKUU BUNGENI LEO DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, bungeni jijini Dodoma, Mei 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, bungeni jijini Dodoma, Mei 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor