Featured Kimataifa

RAIS SAMIA  AKISAINI KITABU CHA MTOTO ADA MKAZI WA COLUMBIA WASHINGTON DC MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani.

About the author

mzalendoeditor