Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

betasus

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

SERIKALI KUJENGA MAHAKAMA ZA MWANZO 10 ZA MFANO

Written by Alex Sonna

NA FRED ALFRED,DODOMA

MAHAKAMA ya Tanzania  imesema katika mpango mkakati wa awamu ya pili wa maboresho ya Mahakama nchini  ambao ulianza 2020 hadi 2025 inatarajia kujenga Mahakama 10 za mwanzo za mfano katika maeneo ambayo ilikuwa ni vigumu wananchi kufikia haki.

Imesema kati ya Mahamaka hizo mbili zitajengwa Dodoma katika Kijiji Cha Kinusi wilaya ya Mpwapwa na Haubi Wilaya ya Kondoa.

Hayo yalibainishwa jana jijini hapa na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Profesa Elisante Ole Gabriel alipotembelea Kijiji cha Haubi Wilaya ya Kondoa.

Alisema Mahakama inaendelea na maboresho ambapo kwa mujibu wa mpango mkakati  ulioanza tangu mwaka 2015 hadi 2020 ambapo mambo makubwa yamefanyika.

“Sasa tupo katika mpango mkakati wa awamu ya pili ambao umeanza 2020 hadi 2025, katika mpango mkakati huu kutakuwa na maboresho kwani  hadi sasa Tanzania  kuna Mahakama za mwanzo 960  huku mahitaji yakiwa ni 3900 hivyo bado kuna upungufu,”alisema.

Aliongeza kuwa:”Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamisi Juma katika vikao vyetu alielekeza kuwa ni vyema kuangalia namna ya kujenga mahakama za mwanzo kwa kuzingatia maeneo yasiyo pungua 10 ambayo ni vigumu wananchi kufikia haki na lengo la maboresho hayo ni kuhakikisha haki inapatikana kwa urahisi,”.

Profesa Gabriel alisema serikali itajenga jengo jipya la Mahakama ya mwanzo na Nyumba mbili za Watumishi.

Alisema katika kutekeleza hilo wanahitaji  ardhi isiyopingua ekari mbili, uhamasishaji wa wananchi ili kuthamini kile kitakachojengwa, na kujitolea kwa wananchi kushiriki shughuli za ujenzi.

“Kitu ambacho ningetamani kusikia kutoka kwenu ni upatikanaji wa ardhi ambayo itamilikishwa kwa mahakama na mtuambie utayari wa wananchi kupokea jambao hili na kushiriki,”alieleza.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Haubi Paul Irovya, alisema ni kweli mahakama iliyopo ni ilijengwa  muda mrefu kabla ya Uhuru  na majengo yake yamechakaa yanahitaji matengenezo au ujenzi rasmi.

Alisema ujenzi wa Mahakama yenye hadhi itakuwa ni jambo jema kwasababu itawapinguzia wananchi mzigo wa kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya kutafuta haki.

“Tunaishiuru serikali kwa maono yake na kuamua kujenga mahakama hapa haubi, tunaamini itakuwa na tija kwa wananchi wetu kwasababu itawarahishia na kuwapunguzia mzigo mkubwa waliokuwa wamebeba wa kusafiri umbali mrefu kwaajili ya kutafuta haki.

Naye Mwenyekiti wa Kijiji cha Haubi Anasi Lubuva alisema licha ya kuwepo kwa mahakama hiyo iliyochakaa lakini bado kunachangamoto ya kukosa Hakimu kwani aliyepo anahudumia Mahakama zaidi ya mbili.

Alitaja changamoto nyingine iliyopo katika kijiji hicho kuwa ni   Mabalaza ya Kata yalipo hayana ujuzi  namna ya kuenesha kesi, wakati mwingine wanaendesha kwa uzoefu sio kwa kufuata sheria hivyo ni vyema wakaandaliwa semina maalumu kwaajili ya kufundishwa namna ya kuendesha kesi.

“Tunachangamoto ya kukosa Hakimu na aliyepo anahudumia Mahakama zaidi ya mbili hivyo kunawakati wananchi wanakuwa wanamuhitaji lakini kutokana na majukumu anashindwa kufika, pia tunaomba semina itolewe kwa Mabalaza ya Kata ili waweze kutoa uamuzi kisheria zaidi,”alisema 

About the author

Alex Sonna