Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA RAIS WA BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC NCHINI MAREKANI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo Washington DC nchini Marekani leo tarehe 23 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo Washington DC nchini Marekani leo tarehe 23 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mkutano na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bw. Hafez Gharem katika Ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo Jijini Washington DC Marekani.

About the author

mzalendoeditor