Featured Kitaifa

PICHA:WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda Bungeni jijini Dodoma 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge wakati alipoingia bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na msanii wa  mipasho, Swalehe Juma Nassoro maarufu Dkt. Kumbuka, kwenye viwanja vy Bunge jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor