Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA MAJALIWA BUNGENI LEO DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda, Boniphace  Getere, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kisalimiana  na Mbunge wa Bunda, Boniphace  Getere, bungeni jijini Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),  Dkt. Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma, Aprili 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor