Featured Kimataifa

RAIS SAMIA AWASILI JIJINI NEW YORK MAREKANI 

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akipokea Shada la Maua kutoka kwa Watoto Amani Lujwangana, Abella Lujwangana na Sophia Quito mara baada ya kuwasili  Jijini New York nchini Marekani kwa ajili ya kuendelea na ziara yake ya kikazi leo tarehe 16 Aprili 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa baada ya mazungumzo yao Jijini New York Nchini Marekani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Joyce Msuya Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibina Adamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu Masuala ya kibinaadamu, Jijini New York Nchini Marekani 

About the author

mzalendoeditor