Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI IKULU YA MAREKANI WHITE HOUSE

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15 Aprili 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kalama Herris katika Ikulu ya Marekani White House Jijini Washington DC.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15 Aprili 2022 akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kalama Herris katika Ikulu ya Marekani White House Jijini Washington DC.

About the author

mzalendoeditor