marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

bets10

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

celtabet

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

betist

betist

casibom

Featured Kitaifa

JKCI:WANAOTAKA KUSAIDIA MATIBABU WAJE KUWATAMBUA WAGONJWA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwaeleza wadau kutoka Mfuko wa Hisani wa Kujitolea, Kuongoza na Kubadilisha kuhusu magonjwa ya moyo kwa watoto walipotembelea Taasisi hiyo  leo kwa ajili ya kukabidhi risiti za malipo  ya Tshs.8,750,000/= ikiwa ni gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto watatu. Kulia ni Ramadhani Iddi ambaye mtoto wake amelipiwa  Tshs.2,895,000/= kwa ajili ya upasuaji wa moyo.

Mwenyekiti wa Mfuko wa Hisani wa Kujitolea, Kuongoza na Kubadilisha Beatus Rwechungura akimkabidhi risiti ya malipo ya Tshs.3, 200,000/= Lilian Ndomba leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya gharama za upasuaji wa moyo wa mtoto wake anayesubiri kufanyiwa upasuaji katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

Mwenyekiti wa Mfuko wa Hisani wa Kujitolea, Kuongoza na Kubadilisha Beatus Rwechungura akimkabidhi risiti ya malipo ya Tshs.2,655,000/= Edna Michael  leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya gharama za upasuaji wa moyo wa mtoto wake anayesubiri kufanyiwa upasuaji katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wadau kutoka Mfuko wa Hisani wa Kujitolea, Kuongoza na Kubadilisha waliofika  katika Taasisi hiyo kwa ajili ya kukabidhi risiti za malipo  ya Tshs.8,750,000/= ikiwa ni  gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto watatu.

Picha na JKCI

…………………………………………..

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam

WANANCHI wanaohitaji kulipia gharama za matibabu ya wagonjwa wa moyo  wameshauriwa kufika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kuwatambua wagonjwa ambao hawana uwezo wa kulipia gharama za matibabu pia kufahamu gharama halisi za matibabu yao.

Ushauri huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akiongea na wadau kutoka Mfuko wa Hisani wa Kujitolea, Kuongoza na Kubadilisha waliofika  JKCI kwa ajili ya kukabidhi risiti za malipo  ya gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto watatu.

Prof. Janabi alisema wananchi wanaotaka kulipia gharama za  matibabu ya wagonjwa wa moyo wafike katika Taasisi hiyo au wapige simu, wataoneshwa njia sahihi ya kufanya malipo ikiwa  ni pamoja kupewa gharama halisi ya matibabu na kuoneshwa  wagonjwa wanaohitaji msaada wa matibabu.

“Siku hizi tumekuwa tukiona katika mitandao ya kijamii watu mbalimbali wakichangisha fedha za matibabu ya wagonjwa. Kwa upande wa wagonjwa wa moyo ninawaomba wananchi wanaotaka kusaidia wagonjwa wafike katika Taasisi yetu , wataoneshwa wagonjwa husika na kupewa taratibu za kufanya malipo hii itawasaidia kuepuka kutapeliwa”,.

“Ninawashukuru sana ndugu zetu hawa leo hii wamelipa Tshs.8,750,000/= kwa ajili ya gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto watatu ambao walezi wao hawana uwezo wa kulipia matibabu yao. Tumewaonesha watoto hao kabla ya kufanyiwa upasuaji na watakuja tena kuwaona baada ya kufanyiwa upasuaji. Wamechukuwa namba za simu za walezi wao ambao watawasiliana nao ili kujua maendeleo ya watoto”, alisema Prof. Janabi.

Mkurugenzi huyo Mtendaji ambaye pia ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo aliisistiza jamii kuwa na tabia ya kuchangia gharama za matibabu kwa wagonjwa ambao hawana uwezo kwani Serikali peke yake haiwezi kwa kuwa gharama za matibabu ni kubwa kuna vifaa ambavyo vinatakiwa kununuliwa na vinapatikana nje ya nchi.

Kwa upande wake Beatus Rwechungura ambaye ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Hisani wa Kujitolea, Kuongoza na Kubadilisha alisema kikundi chao kina watu sita ambao ni marafiki wa siku nyingi huwa wanatoa michango ya mara kwa mara kwa ajili ya kusaidia jamii inayowazunguka.

“Tulichangishana tukapata kiasi cha Tshs.8,750,000/= fedha ambazo tumelipia gharama za matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto watatu na tuliamua kusaidia watoto  kwasababu wanauhitaji na tunatengeneza maisha yao ya baadaye”, alisema Rwechungura.

Rwechungura alisema wamefika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete na kutembelea wodini wameona kuna uhitaji mkubwa, waliomba watu wenye uwezo wa kuchangia wasaidie chochote watakachoweza kitasaidia na kuwa na matokeo mazuri  katika maisha ya watoto.

Naye Mkuu wa Kitengo cha Ustawi wa Jamii kutoka  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Salum alishukuru kwa wageni waliowapata ambao wamewasaidia watoto wenye matatizo mbalimbali kwa kuwalipia gharama za matibabu ya moyo.

Asha alisema uhitaji ni mkubwa kuna watoto wanaofika kutibiwa katika Taasisi hiyo na hawana bima za afya na kuna ambao wanabima lakini gharama za matibabu ni kubwa na wazazi hawana uwezo wa kulipia. Hivyo basi wanalazimika kuomba msaada kwa wadau mbalibali ikiwa ni pamoja na Taasisi kulipia gharama hizo.

“Watoto hawa pia wanamahitaji mengine ya muhimu kama vile diapers, sabuni, dawa za meno, miswaki  na vitu vya kuchezea ninaomba watu mbalimbali ambao  wataguswa waweze kuwasaidia”, alisisitiza Asha.

Nao wazazi ambao watoto wao wamelipiwa gharama za matibabu walishukuru kwa moyo wa upendo ulioonesha na wasamaria wema hao na kuwaomba wananchi wengine waweze kuwasaidia watoto wanaohitaji kufanyiwa upasuaji wa moyo ambao wazazi wao hawana uwezo wa kulipia gharama hizo.

About the author

Alex Sonna