Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WANANCHI WALIOVAMIA ZIWA RUKWA WAONDOSHWE- RC MKIRIKITI

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti akizungumza kuhusu utunzaji wa mazingira ambapo ameagiza wananchi waliovamia eneo la Ziwa Rukwa waondoshwe ndani ya siku 30.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa ACP Theopista Mallya akichangia mada kwenye kikao cha wadau wa mazingira juzi mjini Sumbawanga.

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa  Swagile Msananga akiwa kwenye kikao cha wadau wa mazingira ambapo ameshauri halmashauri kutenga fedha kwa ajili utekelezaji mipango ya matumizi bora ya ardhi hatua itakayosaidia kupunguza athari za uharibifu wa mazingira.

Askofu wa KKKT Dayosisi Ziwa Tanganyika Ambwene Mwaipopo akishiriki kikao cha tathmini ya utunzaji mazingira na misitu katika mkoa wa Rukwa juzi mjini Sumbawanga.

Sehemu ya wadau wa mazingira na misitu kwa wakiwa kwenye kikao cha tathmini ya utunzaji misitu na mazingira ambapo walipitisha azimio la kuwaondosha wananchi wote waliovamia vyanzo vya mji ikiwemo Ziwa Rukwa.
( Habari na Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa
…………………………………………………

Na. OMM Rukwa

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joseph Mkirikiti ametoa muda wa siku Thelathini kwa wananchi wanaofanya shughuli za kilimo na makazi ndani ya eneo la mita Sitini kando ya Ziwa Rukwa kuondoka kwa kuwa wanasababisha uharibifu ikiwemo kupungua kwa kina cha ziwa hilo.

Mkirikiti alitoa kauli hilo juzi (08 Aprili 2022) mjini Sumbawanga wakati wa kikao cha wadau wa mazingira kilicholenga kuweka mikakati ya kunusuru uharibifu wa misitu na vyanzo vya maji kote mkoani.

Alisema ni wakati sasa kwa viongozi wa wilaya ya Sumbawanga wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Sebastian Waryuba kwenda na kuanza kutoa elimu kwa wananchi kupisha maeneo waliyovamia kwenye ukanda wa ziwa Rukwa kwa mujibu wa Sheria.

“Tuhakikishe eneo la mita Sitini kando ya Ziwa Rukwa likiwa bila watu wanaoishi au kufanya shughuli za kilimo na mifugo. Wote waliovamia waondolewe ndani ya siku 30 na nipatiwe taarifa ya utekelezaji .Viongozi nendeni mkasimamie sheria bila kuonea wananchi, “alisisitiza Mkirikiti.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Bonde la Ziwa Rukwa ilisema ziwa hilo lina ukubwa wa mita 88,000 ambapo lina kina cha mita tisa (9) ambazo zinaendelea kushuka kwa kasi kutokana na shughuli za binadamu hivyo tope jingi kujaa.

“Kwa upande wa Ziwa Rukwa kumekuwa na uharibifu mkubwa wa misitu ya Lyamba lya Mfipa hali inayosababisha ziwa Rukwa wakati mwingine kujaa tope. Hivyo wadau wa mazingira mnayo nafasi ya kuhakikisha kuwa mnawaelimisha wananchi kuutunza vyanzo hivi vya maji kwani maji ni uhai” Mkirikiti akihitimisha hotuba yake.

Akizungumza kuhusu uharibifu katika bonde la Ziwa Rukwa, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Sebastian Waryuba alisema ni kweli Mifugo, kilimo kando ya ziwa hilo pamoja na makazi yanaathiri uhai wa ziwa hilo.

Waryuba aliongeza kusema atatekeleza kazi ya kutoa elimu kwa wananchi wote waliovamia eneo hilo kwa kuwapa elimu juu ya sheria inavyotaka watu wakae umbali wa mita 60 toka ziwani na kuwa kazi hii itafanyika kwa weledi mkubwa.

Kilian Swai ni Afisa Utekelezaji toka Timu ya Mwanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo (LEAT) alisema uharibifu mkubwa wa mazingira unaendelea katika Misitu vya Lyamba lya Mfipa ambako ndio chanzo cha ziwa Rukwa usipodhibitiwa ziwa hilo litatoweka ndani ya miaka 50 ijayo.

Swai aliongeza kusema taasisi yake inafanya kazi na wananchi wa maeneo ya msitu wa Lyamba lya Mfipa kwa kugawa miche ya miti ya matunda na uhifadhi pamoja na kuisaidia kuwekwa kwa mpango wa matumizi bora ya ardhi ili wananchi wasiendelee kuharibu mazingira .

Swai alisema taasisi hiyo imefanikiwa kusambaza miche ya miti 195,000 kati ya lengo la miche 300,000 ili kuhifadhi eneo la msitu wa Lyamba lya Mfipa  ili wananchi watunze mazingira.

Naye Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa ,Kamishna Msaidizi wa Polisi Theopista Mallya alishauri wataalam wa mazingira kutoa elimu kwa wananchi ili watambue kuwa kuvamia maeneo ya vyanzo vya maji na Misitu ni kuvunja sheria kunakosababisha uwepo wa makossa ya jinai.

Kwa mujibu wa Sheria ya Misitu ya namba 14 ya mwaka 2002 inakataza uharibifu wa Misitu unaotokana na ukataji holela wa miti kwenye maeneo yaliyohifadhiwa ikiwemo vyanzo vya maji.

About the author

Alex Sonna