Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ,AFUTARISHA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM .

Written by mzalendoeditor

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akifutari pamoja na Viongozi wa Dini, Wanasiasa, Wazee na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Futari aliyoiyandaa Jana 10 April 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

About the author

mzalendoeditor