Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA UONGOZI WA BODI YA CBE IKULU ZANZIBAR.

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof.Wineaster Saria Anderson alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na kuagana na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa  na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-4-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor