Featured Kimataifa

MWANAMKE AFARIKI DUNIA BAADA YA POLISI KUMPOKONYA POCHI YAKE

Written by mzalendoeditor

Scolastica Marada enzi za uhai wake
Familia moja katika kaunti ya Trans Nzoia inaomboleza kufuatia kifo cha jamaa yao kilichotokea baada ya afisa wa polisi kuripotiwa kumpokonya pochi lake lililokuwa na KSh 30,000 sawa na shilingi Laki sita za Tanzania.
 
Chanzo:Malunde 1 blog

About the author

mzalendoeditor