MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika leo April 1,2022 jijini Dodoma.(Katikati) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk.Ali Mohamed  Shein,(kushoto) ni Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete.

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika leo April 1,2022 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM Ndg Daniel Chongolo,akitangaza utaratibu utakaotumika wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika leo April 1,2022 jijini Dodoma.

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika leo April 1,2022 jijini Dodoma.

Previous articleHUAWEI YATOA RIPOTI YA MWAKA 2021,YAIMARISHA OPERESHENI,KUWEKEZA ZAIDI KATIKA SIKU ZIJAZO
Next articleMWANAMKE AFUNGWA JELA KWA KUTUMIA PESA ALIZOPOKEA KIMAKOSA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here