Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

redwin

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

lisanslı casino siteleri

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

maxwin

jojobet

marsbahis

ultrabet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

piabellacasino

jojobet

piabellacasino

piabellacasino

kulisbet

mavibet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin giriş

matbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

jojobet

royalbet

jojobet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

avrupabet giriş

betsat

betpark giriş

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA TAWA KWA KUSIMAMIA VIZURI MIRADI YA MAENDELEO PORI LA AKIBA SWAGASWAGA

Written by Alex Sonna

KAMATI ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa  Pori la akiba la Swagaswaga,Joseph Reuben kabla ya kuanza kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

KAMATI ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii wakiedelea  kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

KAMATI ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii wakimsikiliza Mkandarasi Johannes Nyamasiriri wakati wakikagua  miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

KAMATI ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa  Pori la akiba la Swagaswaga,Joseph Reuben wakati wakikagua  miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

KAMATI ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii wakikagua kisima cha maji kinatumia na wananchi waliopo karibu na Pori la Akiba Swagaswaga wakati wa ziara ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii Mhe.Ally Makoa,akiipogeza TAWA kwa usimamizi mzuri wa matumizi ya fedha mara baada ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii Mhe.Shaban Shekilindi akizungumza mara baada ya kukagua na kujionea maendeleo ya miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

MKURUGENZI wa Idara ya Wanyamapori Dk.Maurus Msuha,akiipongeza Kamati hiyo kwa kutembelea na kujionea maendeleo ya miradi mbalimbali katika Pori la Akiba Swagaswaga lililopo wilaya za Chemba na Kondoa.

KAIMU Kamishna wa Uhifadhi katika Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mabula Nyanda,akieleza majukumu yanayotekelezwa na TAWA wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii ya kukagua na kujionea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

Meneja wa  Pori la akiba la Swagaswaga,Joseph Reuben,akitoa taarifa ya utedaji kazi ya Pori la Akiba Swagaswaga kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii ilipofanya ziara ya kukagua na kujionea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

KAMANDA wa Uhifadhi Pori la Akiba Mkungunero Khadija Malongo,akiiomba kamati hiyo iweze kutembelea Pori la Mkungunero wakati wa ziara ya kukagua na kujionea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

SEHEMU ya watumishi wa TAWA,Waandishi na waheshimiwa wabunge wakifatilia hotuba mbalimbali.

KAMATI ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa TAWA mara baada ya kumaliza ziara ya  kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa.

…………………………………………

Na Alex Sonna-KONDOA

KAMATI ya Kudumu ya Bunge,Ardhi,Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kusimamia vizuri ujenzi wa miradi ya maendeleo katika Pori la Akiba la Swagaswaga lililopo katika wilaya za Chemba na Kondoa .

Miradi ambayo imekaguliwa na kamati hiyo ni Ujenzi wa Ofisi, ujenzi wa nyumba za watumishi, kisima kinachotumia pampu za kisasa pamoja  na ujenzi wa nyumba za kulala wageni ‘Hostel’ yote ikigharimu kiasi cha shilingi billioni 1.

Akizungumza wakati wa ziara ya kukagua miradi hiyo Mwenyekiti  wa Kamati hiyo,Ally Makoa amesema wameridhishwa  na matumizi ya fedha zilitolewa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza miradi hiyo.

“Tunamshukuru Rais kwa kuleta fedha nyingi katika Wizara za Ardhi na ile  ya Maliasili na Utalii  naipongeza Wizara ya Maliasili  kwa kuzisimamia vizuri fedha hizo.Niwatakie kila la heri na mwambie Waziri (Dkt Damas Ndumbaro)  Kamati imeridhishwa na kazi na tukiingia katika bajeti tutaendelea kumshawishi mheshimiwa Rais (Samia Suluhu Hassan)  aongeze fedha,”amesema.

Aidha,Makoa ambaye ni Mbunge wa Kondoa Mjini amesema  kuna maeneo machache katika Mkoa wa Dodoma  ambayo yakiwekezwa nguvu  yanaweza kunyayuka kiutalii likiwemo pori la Swagaswaga na Mkungunero.

Vilevile,Mwenyekiti huyo ameitaka Wizara hiyo kusimamia fedha ambazo zinatolewa na Rais Samia ili awe na imani na kuweza kuongeza fungu lingine.

“Tukifanya vizuri ndio atatuletea fedha zaidi lakini kama kutakuwa na ‘mazongezonge’ kwenye fedha anazoleta wakati mwingine hataongeza tunatarajia fedha yoyote itakayoletwa itatumika kisawasawa,”amesema.

Aidha ameipongeza TAWA  kwa kuwa na mahusiano mazuri na jamii ambazo zipo pembezoni mwa mapori ikiwa ni pamoja na kutoa huduma za maji katika vijiji.

Kwa upande wake,Kaimu Kamishna wa Uhifadhi kutoka TAWA,Mabula Nyanda
Amesema utekelezaji wa mradi huo utasaidia Mamlaka kutimiza lengo la kuongeza idadi ya watalii na mapato yatokanayo na utalii kama ilivyoanishwa katika ilani ya CCM.

“Tunaishukuru Serikali kwa kuendelea kutatua migogoro kati ya hifadhi na wananchi ambayo imesaidia kuboresha mahusiano baina ya pande hizi mbili,”amesema.

Naye,Meneja wa  Pori la akiba la Swagaswaga,Joseph Reuben amesema katika kuhakikisha migogoro kati ya wananchi na wahifadhi inapungua wameendelea kutoa elimu ya uhifadhi kwa wananchi wa vijiji vinavyopakana na hifadhi.

Amesema kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Desemba 2021 wamefanikiwa kuelimisha jumla ya wananchi 4604 katika vijiji 18 ambapo amedai elimu hiyo imetolewa kwa kushirikiana na Afisa Wanyamapori na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa Wilaya za Chemba na Kondoa.

About the author

Alex Sonna